Rais Magufuli ameitaka Bodi ya pamba iliyoko Dar es Salaam kuhamia katika mikoa inayolima pamba na atakayekaidi agizo hilo atajifukuzisha kazi mwenyewe.


Chanzo : Radio One

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top