Akiwa Kanda ya ziwa Mh Mkulu amesikika akisema anataka kuona meli mpya ziwa Victoria, ujenzi wa viwanda na kusisitiza kuwa hiyo ndio demokrasia anayoitaka.

Sasa mimi nimebaki na maswali kuhusu tafsiri ya neno demokrasia. Ina maana ile tafsiri ya neno democracy tuliyoisoma shuleni tuliingizwa chaka?Post a Comment

 
Top