Aug 21, 2016

Rais Obama Akumbuka Jinsi Alivyokutana na Nyerere, Adai Magufuli Anatimiza Ndoto zake

President Barack Obama
Rais anayemaliza muda wake nchini Marekani,Barack Obama amekumbushia wakati alipokutana na mwalimu Nyerere Washington DC,wakati huo akiwa mwanafunzi .

Akiongea katika kipindi maarufu cha televisheni cha JImmy Kimmel Live ,Obama alionekana ni mtu mwenye mambo mengi mazuri ya kumuelezea mwalimu huku akikumbuka sentensi moja ambayo mwalimu alimwambia "You are truly amazing black male,it takes million black youth to get one of your type"

Obama aliendelea mbali zaidi na kudai anaziona ndoto na mawazo ya mwalimu kwa rais wa sasa wa Tanzania.
"God bless the deads ,I know 1 thing for a fact,that old man is resting in eternal peace so long as Magufuli is doing what he does" aliongeza Obama.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

1 comment:

  1. You are seconded, Sir Obama Jnr.
    JPM came in at the perfect time to complete the work left by Mwalimu Julius Nyerere.

    I salute Magufuli ( Baba wa Taifa letu la Taifa letu)

    ReplyDelete

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR