Rais Uhuru Kenyatta amejulikana kwa maoni yake hasa yanayowahusu wafisadi serikalini.

Katika mkutano ulioandaliwa katika ikulu ya Rais, Rais Kenyatta alisema kuwa kulikuwa na wezi kati yao.

Aitha, Rais Kenyatta alimpa changamoto Mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya Bandari nchini Catherine Mturi, na kumsihi kulishughulikia swala la ufisadi katika bandani Pwani.


 “Ufisadi upo hata katika bandari yetu Pwani, lishughulikie swala hilo. Tushirikiane ili tujue mwizi ni yupi kati yetu,” Amesema.


Post a Comment

 
Top