• Breaking News

  Aug 21, 2016

  RC Gambo: Tarehe 1, Sep Kiumbe Chochote Kisithubutu Kuandamana Arusha

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
  Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

  My take:

  Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.

  By Pagan

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku