Mapenzi hayachagui umri, dini wala kabila. Mkali wa RnB nchini Marekani, Robert Kelly aka R.Kelly anahusishwa kuwa na mahusiano na mwana mitindo mwenye umri wa miaka 19.

Ni muda mrefu staa huyo amekuwa akihusishwa kupenda kuwa na mahusiano na wasichana wenye umri mdogo huku yeye umri wake wa sasa ukiwa ni miaka 49.

Staa huyo amekuwa akionekana sehemu mbalimbali za starehe akiwa na mwanamitindo huyo anayejulikana kwa jina la Haile Calhoun na wanaonekana kupendana haswaa.


Post a Comment

 
Top