• Breaking News

  Aug 6, 2016

  Salam za Wema Sepetu Kwa Mtoto wa Diamond Platnumz ‘Tiffah’

  August 6, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mtoto wa staa wa kutokea  bongo fleva Diamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mtoto wa  Diamond akayaandika haya

  Happy Birthday Princess Tee…🎈🎉🎁🎊🎀💝 May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman’– Wema Sepetu

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku