• Breaking News

  Aug 29, 2016

  Salim Mwalimu Akosa Dhamana na Kurudishwa Rumande Kesi ya Uchochezi

  Salimu Mwalimu 
  Salimu Mwalimu na Wenzake jana walikosa dhamana na kurudi rumande

  Hiyo nimeipata jana chanzo ikiwa ni taarifa ya habari kutoka kwenye TV.

  Wakili wa Mwalimu alishindwa vibaya na wakili wa serikali, baada ya wakili wa serikali kuweka pingamizi la dhamana.

  Baada ya wakili wa chadema kushindwa kutoa maelezo ya kujitetea kwamba kwanini Mwalimu na wenzake wapewe dhamana.

  Mwalimu na wenzake wanakabiliwa na tuhuma za kichochezi na wakili wa serikali katoa pingamizi kwamba kupewa dhamana wanaweza haribu upelelezi.

  Mpaka sasa salim mwalimu na wenzake wapo mahabusu mpaka augost 30 itakapotajwa.

  Lisu alikaa siku moja tu na kuja kutoa matangazo kuwa mahabusu hapafai sasa hawa siku hizi zote watatoka wamekuwa kama rula.

  Karibu tujadiliane kuhusu kamanda wetu huyu.

  By Annael/JF

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku