Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuwa ndani ya mwaka huu serikali itaanzisha Mamlaka ya Udhibiti wa Makazi (Real Estate Regulatory Authority) ambayo pamoja na mambo mengine itakuwa na jukumu la kudhibiti kodi za nyumba kwa wapangaji?

Je, unaunga mkono serikali kuwapangia wenye nyumba kodi za wapangaji?


Post a Comment

 
Top