Serikali ya Tanzania inajinadaa kujenga kiwanda kipya cha matairi.
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda, Boashara na uwekezaji Dr Adelhem Meru ameiambia kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwa kiwanda hicho kitatumia teknolojia mpya ya uzalishaji.

Amesema kiwanda hiki kitachukua nafasi ya General Tyre East Africa Limited (GTEA) na hatua hii itaipelekea serikali kuachana na mpango wake wa awali wa kuifufua Genera Tyre kwa kuwa mashine zake ni za kizamani sana na nyingi zimechakaa na zinatumia teknolojia ya zamani.


Post a Comment

 
Top