• Breaking News

  Aug 7, 2016

  Serikali Mnasumbua Watumishi wa Umma. Watakosa Motisha

  Yaani mtumishi wa umma yuko kwenye harakati za kuhamia Dodoma halafu hapo hapo anaambiwa awasilishe Cheti cha Shule ya Msingi iliyoko vijijini kwa ajili ya uhakiki. Shule hiyo sasa imegawanywa Shule tatu na ile Ofisi ya Mwalimu Mkuu enzi hizo ilishavunjwa. Anafanya jitihada za kukitafuta bila mafanikio. Mtumishi anaamua kurudi kazini bila cheti cha Shule ya msingi, lakini anaambiwa hajatimiza vigezo. Presha inampanda na hapo hapo Tangazo la kuhamia Dodoma na watumishi hewa linamhusu, kwa sababu yuko masomoni, na DED kaitisha attendance register kwenye kusanyiko la mbio za Mwenge.

  Sasa sijui anaanzia wapi.
  Serikali kuweni na huruma.
  TANZANIA YA VIWANDA NA UHAKIKI WA VYETI VYA SHULE YA MSINGI WAPI NA WAPI?!?!

  By Tajirijasiri/Jamii Forums

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku