• Breaking News

  Aug 2, 2016

  Serikali ya Marekani Yasalimu Amri Kwa Tanzania..Yaamua Kuipatia Mamilioni


  Serikali ya Marekani imekubali kuipatia Tanzani zaidi ya dola za Marekani milioni 407 kama msaada.

  Ubalozi wa Marekani umesema pesa hizo zimetolewa ili kusaidia Tanzania katika nyanja za afya, kilimo, elimu, utunzaji wa maliasili, nishati na utawala wa kidemokrasia.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku