• Breaking News

  Aug 12, 2016

  Shule za Feza Nchini Zahusishwa na Kufadhali Jaribio la Mapinduzi Uturuki...Tanzania Yaitaka Uturuki Itoe Ushahidi


  Tanzania yaitaka Uturuki itoe ushahidi kwanini Shule za Feza nchini zifungiwe kwa madai ya kuhusika kufadhili jaribio la mapinduzi.

  Uturuki pia inawashtumu baadhi ya wafanyabiashara wa Kituruki nchini kufadhili ugaidi wakishirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku