Godbless Lema
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha.

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada ya kugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri. Hayo yanatokea yeye anapopinga kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilihali ni haki yake.

Tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea


Post a Comment

 
Top