Aug 4, 2016

Trump maji ya shingo, ajipa moyo kampeni yake ina kiki bado

Akihutubia huko Florida, Trump alisema kampeni yake inaendelea vyema.

Vyombo vya habari vya Marekani vimedai kuwa alisababisha kero kubwa alipowashambulia wazazi wa mwanajeshi wa Marekani aliyeuawa.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampeni yake waliiambia CNN kuwa wanahisi kama wanapoteza muda wao.

“It’s never been so well united… I would say right now it’sthe best in terms of being united that it’s been since we began, ” aliwapa moyo wafuasi wake.

Trump anapambana na upinzani mkubwa kutoka kwa mgombea wa chama cha Republican, Hillary Clinton.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR