Aug 9, 2016

Tundu Lissu Adai Kuna Njama Yakutaka Kumvua Ubunge


DAR: Mbunge Tundu Lissu amesema barua aliyoandikiwa na Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kisheria ya kutaka kumvua ubunge wake.

Mbunge huyo pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wameandikiwa barua na Sekretarieti ya Maadili kwa kukiuka baadhi ya masharti ya maadili ya viongozi

No comments:

Post a Comment