• Breaking News

  Aug 6, 2016

  Uhusiano Baina ya Burundi na Rwanda Waingia Dosari Tena..Mabasi Yazuiwa Njiani


  Uhusiano baina ya Burundi na Rwanda umeingia tena dosari baada ya Burundi yazuia mabasi ya abiria kutoka nchini mwao kwenda Rwanda.
  Burundi inaishutumu Rwanda kuwapa mafunzo waasi wanaotaka kuiangusha Serikali ya Pierre Nkurunziza

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku