Unakuta jitu na akili zake linajisifu bila haya wala woga, "mimi msichana wangu wala hana wivu yaani yuko peace kinoma" Aliyekwambia yuko peace nani? Ukiona mwanamke hana wivu na wewe ujue huna lolote, hujui A wala Z ya chochote.Ukiipiga sawasawa wivu lazima, mechi zako zinaishia
dakika ya 6, awe na wivu for what?


Post a Comment

 
Top