Prof Mkumbo wa UDSM amewataka wapinzani kujikita katika modern theories za filosifia wanayotaka Watanzania waienzi. Haingii akilini kuwatanguliza vijana kupambana na polisi ati ndo msukumo wa chama kisiasa, Ashangaa nchi kujadili siku ya maandamano Sept Mosi Badala ya kujadili mambo ya muhimu zaidi.....


Post a Comment

 
Top