• Breaking News

  Aug 9, 2016

  Unaambiwa Asilimia 61 ya Wanaomaliza Chuo Tanzania ni Bongo lala...Wanauwezo Mdogo


  UTAFITI: Asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu wana uwezo mdogo, hawawezi kushindana katika soko la ajira nchini.
  Kulingana na utafiti huo imegundulika kuwa vyuo Vikuu vingi vimekuwa haviangalii ubora isipokuwa hufanya Biashara tu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku