• Breaking News

  Aug 12, 2016

  Unajua Wanacholipwa Washindi wa Medali Kwenye Olimpiki? Ni Hivi...

  Kushiriki mashindano ya Olimpiki na ukashinda ni neema inayoweza kukupa maisha mazuri kwa muda mrefu.

  Washindi wa medali kwenye mashindano ya Olimpiki nchini Brazil hupewa mkwanja wa kufa mtu. Wale wanaoshinda medali za dhahabu, hupewa $250,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 550.

  Washindi wa medali ya fedha huondoka na $50,000 na wale wa shaba huweka kibindoni $25,000. Kwa nchi zingine washindi pia hupewa fedha zingine na nchi zao ambapo Marekani huwapa $25,000 washinda wa medali za dhahabu, $15,000 kwa medali ya fedha na $10,000 kwa medali ya shaba.

  .

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku