Aug 19, 2016

‘Upole, Kulindana Vinaigharimu Serikali’

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene amesema upole na kulindana ni chanzo cha matatizo yanayoigharimu na kuifedhehesha Serikali.

Akifungua semina ya wakuu wa shule zilizofanya vibaya katika mitihani mjini Dodoma ili kutafakari namna bora ya kuepuka hali hiyo, Simbachawene amesema katika maeneo mengi kumeibuka watu wasiokuwa na sifa za ualimu wanaofanya kazi hiyo na wengi wanatumia vyeti bandia.

Pia, amesema kuna walimu wanatumia dawa za kulevya, lakini wanaachwa wakiendelea na kazi hiyo.Install SIASA HURU App Kwenye Simu Yako Kusoma Habari hizi Kirahisi, Bonyeza HAPA

Post a Comment

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © Siasa Huru l Habari za Siasa | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by SiasaHuru.com