• Breaking News

  Aug 26, 2016

  Ushauri walioutoa UKAWA kwa Rais Magufuli

  August 25 2016 vyama vya upinzani vyenye wabunge bungeni vimekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoikibali taifa

  Akizungumza kwa niaba yao mbunge wa vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametoa ushauri kwa Rais Magufuli kuwa Serikali yake ipeleke muswada bungeni kwa hati ya dharura ili kufanya mabadiliko katika katiba ya nchi ya kufuta vyama vyote vya siasa nchini……..

  'Ushauri wangu na nimeshauriana na wenzangu kama Rais Magufuli anaona vyama vya siasa vinamkera, anaona ili aweze kuongoza vizuri, anataka kuongoza nchi hii kwa matamko yake yeye mwenyewe, tunamshauri serikali yake ipeleke muswada wa dharura kwenye bunge lijalo ili kufanya marekebisho kwenye katiba na  kufuta vyama vyote vya siasa’:-Mbatia

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku