• Breaking News

  Aug 18, 2016

  UTURUKI: Takribani watu 40,000 Wakamatwa Kwa Kuhusika na Jaribio la Mapinduzi


  UTURUKI: Takribani watu 40,000 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la mapinduzi la Julai 15, 2016.

  Serikali yatangaza dhamira yakumhukumu kifungo cha miaka 1,900 jela mfanyabiashara Fethullah Gulen anayeishi uhamishoni Marekani, inamtuhumu kuwa mhusika mkuu wa jaribio la mapinduzi.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku