• Breaking News

  Aug 1, 2016

  Video: James Lembeli akizungumza kuhusu hatma yake kurudi CCM

  Wakati jana  Rais Magufuli akiwa  wilayani Kahama  mkoani Shinyanga  alimpa nafasi aliyekuwa Mbunge wa Kahama kwa tiketi ya CCM na baadae kuhamia CHADEMA, James Lembeli ili azungumze.

  Lembeli aliongea mambo kadhaa ikiwemo hatma yake kurudi CCM ambapo alisema yupo tayari kurudi iwapo Rais Magufuli atakisafisha chama kwa kuwashughulikia wanafiki na wala rushwa

  Hapa chini ni maneno ya James Lembeli katika mkutano huo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku