Bilionea wa 21 Afrika na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye ana dhamira ya kununua asilimia 51 yaa hisa za Simba kwa Tsh Bilioni 20, ametekeleza ahadi yake ya kuchangia mfuko wa usajili wa Simba kwa kutoa Tsh milioni 100 kwa Rais wa Simba Evans Aveva
Post a Comment

 
Top