• Breaking News

  Aug 15, 2016

  VIDEO: Mtazamo wa Spika wa Bunge, Job Ndugai Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

  Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ambaye kwa muda hakuhudhuria vikao vya bunge la bajeti kutokana na kuwa kwenye matibabu nchini India.

  Leo August 14 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, Spika wa bunge Job Ndugai ameeleza kuhusu upande wa upinzani kutaka kuandamana kutokana na madai mbalimbali ikiwemo kuona demokrasia haitendeki, Spika Ndugai amesema………..

  ‘baada ya uchaguzi mkuu kuwa umepita, tukiendelea na kampeni na mikutano ya hadhara utafikiri kuna uchaguzi kesho kwa kweli nchi itafika mahali haitaweza kwenda lazima tuipe nafasi nchi kwenda mbele na sisi ambao tumechaguliwa kuwasemea watanzania siasa zetu tuzipeleke pale bungeni’

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku