• Breaking News

  Aug 3, 2016

  Vijana Wawili wa CHADEMA Wakamatwa Kwa Kudaiwa Kueneza Ujumbe wa Kichochezi


  ijana wawili wa CHADEMA huko Mbeya wamekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kudaiwa kusambaza ujumbe wa kichochezi kwa kutumia simu.

  Vijana hao ni Moses Ezekia Mwaifumba ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya na mwenzake Meshack Yohana Mgaya mwenye umri wa miaka 28 ambaye polisi wamedai alikuwa anashirikiana na mtuhumiwa huyo

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku