Mama huyu Esta Bulaya anashirikiana barabara na wananchi wake kutatua changamoto za maendeleo zilizopo katika jimbo lake. Tumemshuhudia katika mengi. Kutoa madawati, kuunganisha wanajamii kwa kufadhili mchezo wa mpira wa miguu, na hata kushiriki ujenzi. Hivyo wito kwa kina Tundu Lisu, lema, Sugu, msigwa kuiga kwa dada yao.


Post a Comment

 
Top