Wanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini. “Nitaikodisha kwa asilimia 75 na 25 inabaki kwa wanachama. Nataka kuikodisha timu na nembo, majengo ya klabu yanabaki kuwa mali ya wanachama. Alisema Manji


Post a Comment

 
Top