• Breaking News

  Aug 15, 2016

  Wanaume Ambao Hawajawahi Kutoa Hewa Chafu Mbele ya Wapenzi Wao Wana Siri Nyingi Wanazozificha- Dr Chriss Mauki

  Mtaalamu mahiri ambaye ametokea kukubalika sana na watanzania ikiwemo vyombo vya habari ametoa kali ya mwaka katika mada zake kupitia Clouds FM pale alipofichua kwamba ikiwa umeishi na mwanaume kwa muda mrefu sana na hujawahi kusikia akipumua (aghalabu kitarumbeta) basi ujue mwanaume huyu ana siri nyingi sana anakuficha na kutopumua (flatulence) ni ishara ya kwamba anazibana siri hizi kama anavyolibana tukio lenyewe

  Huyu ni Dr Chriss Mauki

  Wanasayansi wengine wamenukuliwa wakisema Holding it in may cause major health repercussions.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku