Waziri Afya Ummy Mwalimu amesema kauli ya Rais Magufuli kutaka watanzania "wafyatue watoto" ilikuwa ni utani kwa Wazaramo

Amesema Sera ya Taifa mpaka sasa ni kufuata Uzazi wa Mpango. "Kauli ile isichukuliwe kama ni sera ya Taifa kwa sasa na wala sio kauli "serious" bali ni utani wa Rais kwa watani zake Wazaramo na ndio maana Rais alisema "Watani zangu Wazaramo".


Post a Comment

  1. Utani hadharani. Watoto wanasikia, Lugha, na matunizi ya lugha kwa kiongozi wa juu kama raisi, hakuna utani cheo ni dhamana, Ni kiti cha juu sana Aseme ni mistake, utani kwa ngazi yake . mmmmmmmmmmm. Najua unasafishia. Ni udharalifu.

    ReplyDelete

 
Top