• Breaking News

  Aug 18, 2016

  Waziri na Nishati na Madini Prof. Sospeter Akosoa Agizo la Rais Magufuli


  Waziri na Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ameonya zoezi la ugawaji wa mabaki ya dhahabu(Magwangala) kwani yana sumu ya Zebaki, inahitaji umakini wakati wa kuyagawa.

  Angalizo hili ni kufuatia kauli ya Rais John Pombe Magufuli kutaka Magwangala kugawiwa kwa wachimbaji wadogo.

  Toa maoni yako

  1 comment:

  1. nikweli yana sumu ya hatari sana na yanahitaji utaalam kwa kuyatumia hayo magwangala.watu watakufa kama kuku

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku