Aug 7, 2016

Zitto Kabwe Aidhihaki Yanga Baada ya Kusikia Imekodishwa Kwa Mfanyabiashara Manji

Zitto Kabwe Ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook:

Vitu vinavyoongoza kwa Kukodishwa Mjini
✨ Shela la Harusi
✨ Gari la Kusafirishia Maiti
✨ Boda Boda na Bajaji
✨ Trekta la Kulimia
✨ Turubai la Msibani
✨ Ukumbi wa Mikutano
Yanga SC

0 maoni:

Post a Comment