• Breaking News

  Sep 10, 2016

  Baadhi ya Majeruhi Waliojeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Mjini Bukoba


  Hawa ni Baadhi ya majeruhi waliojeruhiwa katika maafa ya tetemeko la ardhi mjini Bukoba wakipatiwa huduma ya kwanza mapema leo jioni nje ya hospitali ya mkoa huo baada ya wodi kujaa majeruhi habari zinasema mpaka sasa watu kadhaa wamefariki dunia.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku