• Breaking News

  Sep 8, 2016

  Bungeni: Waziri Mkuu Atetea Sakata la Mizigo Kupungua Bandarini


  KUTOKA BUNGENI: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya mawasilianao na mataifa ambayo yanafanya shughuli za bandari na wamesema suala la mdororo wa usafirishaji wa mizigo kwa meli limeshuka duniani kote.

  Alikuwa akijibu swali aliloulizwa na Freeman Mbowe kuhusu kuyumba kwa hali ya uchumi nchini unaosababishwa kupungua kwa mizigo bandarini

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku