• Breaking News

  Sep 27, 2016

  DAR: Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili


  Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) ikitokea nchini Canada.

  Kesho zote mbili kupokelewa rasmi na Rais Magufuli.

  1 comment:

  1. Wenye kumponda mpondeni tu,lakini kwangu mimi huyu baba mpaka hiyo miaka mitano atakuwa katufikisha kwenye hatua nyingine kimaendeleo.MUNGU AKUBARIKI RAIS WETU.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku