• Breaking News

  Sep 5, 2016

  Edward Lowassa Amwalika Maalim Seif Nyumani Kwake Kuzungumza Hali ya Siasa za Zanzibar


  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akimkaribisha nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad jioni hii, ambako wana mazungumzo juu ya hali ya siasa visiwani Zanzibar.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku