Fumanizi 
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya uzinzi na baba mkwe wake. Kwa kweli nilishtushwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu.

Naombeni ushauri  sijui la kufanya hapa

By Amos


Post a Comment

 
Top