• Breaking News

  Sep 14, 2016

  GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania Akanusha Taarifa za Uchumi wa Tanzania Kushuka

  Prof. Benno Ndulu
  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu, amekanusha kuwepo kwa mdororo wa uchumi nchini, na kusema kuwa uchumi wa nchi kwa sasa bado upo imara na unaendelea kukuwa kama ilivyotarajiwa.

  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania - Beno Ndullu
  Prof. Ndulu ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumzia hali ya uchumi nchini na kwamba kinachoonekna sasa ni fedha kuhama kutoka katika mikono haramu kwenda kwenye matumizi halali na sahihi kwa uchumi.

  Aidha, Profesa Ndulu amesema serikali haina mpango wowote wa kuchapisha noti mpya kwa sababu uchumi wa nchi ni imara na hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo kwa sasa

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku