• Breaking News

  Sep 11, 2016

  Gondwe Akamata Malori Saba yakisafirisha Madini Usiku!

  Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina  dolomite yanayotumika kutengeneza saruji.

  Gondwe amesema kati ya  malori saba walifanikiwa kukamata matano, huku mawili madereva wakiwahi kutoroka. “Malori hayo yalikuwa yanatokea Kata ya Mgambo, yanakochimbwa madini hayo,” amesema.

  Kufuatia hatua hiyo, Gondwe ametangaza kupiga marufuku usafirishaji  madini usiku.

  “Tulipokamata magari hayo, kwanza tuliwauliza kama wamelipa kodi na kama wamelipa watuonyeshe stakabadhi,” amesema.

  Alisema madini yanapo safirishwa nje ya wila

  Makufwe amesema  wameanza kukusanya  kodi  kwa kutumia wataalamu wao na kuachana na mawakala, ambao walikuwa wanawasilisha fedha kidogo.

  Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya za Handeni na Kilindi, Charles Kamuhanda alisema kumekuwa na changamoto ya ulipaji kodi kutoka kwa wafanyabiashara.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku