TIMU ya Manchester City leo imeshinda mabao 2 – 1 dhidi ya Manchester United  katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Old Trafford. Mabao yote yalifungwa kipindi cha kwanza, wafungaji kwa upande wa Man City ni De Bruyne aliyetupia dakika ya 15 kisha Iheanacho akaongeza la pili dakika ya 36, bao pekee la wenyeji Man United liliwekwa kimiani na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 42.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top