• Breaking News

  Sep 12, 2016

  Hichi Hapa Ndio Chanzo cha Tetemeko Bukoba


  Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.

  Imesema tetemeko limetokana na misuguano ya mapande makubwa ya ardhi iliyopasuliwa na mipasuko ya ardhi mithili ya mipasuko kwenye bonde la ufa.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku