Sep 24, 2016

HILLARY Clinton Ambuluza Trump Kwenye Kura za Maoni

Hillary Clinton ameongoza kwa pointi 6 zaidi dhidi ya mpinzani wake Donald Trump wakati wakielekea kuchuana kwenye mdahalo wa kwanza Jumatatu ijayo.

Kura hizo za nchi nzima zimetolewa Ijumaa hii. Kura za McClatchy-Marist zilionesha kuwa Clinton ana 45% huku Trump akiwa na 39%.

Wiki hii kura za maoni za Wall Street Journal/NBC zilionesha Clinton anaongoza kwa 43% dhidi 37% za mpinzani wake. Clinton anaendelea kuwa na kura nyingi zaidi kutoka kwa wapiga kura weusi akiwa na asilimia 93% na Trumo 3%.

Clinton pia ana wapiga kura wengi walatino kwa asilimia 74% dhidi ya 16% za mpinzani wake.
Siasa Huru App Inapatikana Google Pay Store


POST A COMMENT

No comments:

Post a Comment