• Breaking News

  Sep 4, 2016

  HOTELI za Kifahari Arusha Zinauzwa na Kupigwa Mnada

  Kumekuwa na ongezeko kubwa la hoteli kufungwa nchini huku nyingine zikibadilishwa matumizi na kuwa vyuo, hostel au matumizi mengine.
  Hali imeendelea kuwa mbaya, hapa inaonekna kuwa Hoteli ya nyota tatu ya Snow Crest iliyopo jijini Arusha itapigwa mnada 23/9/2016 ikiwa ni baada ya kesi iliyoendeshwa kati ya Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Hoteli ya Snow Crest na Wildlife Safaris.

  WhatsApp Image 2016-09-04 at 9.46.02 AM
  snowcrest-hotel-reception (1)
  Hoteli ya nyota tatu ya Snow Crest iliyopo pembezoni mwa barabara ya Arusha- Moshi, Ngulelo Arusha.
  Mbali na hoteli ya Snow Crest, limeonekana tangazo lingine la kukaribisha wateja kuja kununua hoteli ya kifahari ya Mt. Meru ambayo nayo ipo mkoani Arusha.
  WhatsApp Image 2016-09-04 at 9.46.03 AMImage result for Mt. Meru Hotel ArushaHoteli ya nyota nne ya Mt. Meru iliyopo jijini Arusha pembezoni mwa barabara ya Arusha Moshi, Sanawari Arusha.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku