Sep 24, 2016

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa.UN Aishukuru Tanzania

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.UN akiwa na Waziri Mh Augustino Mahiga baada ya majadiliano ya kina kuhusu AMANI ya nchi za maziwa Mkuu.

Ameishukuru Tanzania kwa kuongoza kutafuta AMANI ktk nchi ya Sudani ya kusini,DRC na Burundi.

Amemshukuru J.Kikwete kwa kuongoza mapambano hayo ya kuleta AMANI.

Ana amini Mh Magufuli ataendeleza vita hiyo kwa kumkabidhi Mh Mahiga kitabu maalumu kama muongoza ( TOR) ktk kutafuta AMANI nchi za maziwa makuu

Ametoa pole kwa Mh Rais na watanzania kwa ujumla kwa kupoteza RAIA 17 ktk tetemeko huko Kagera

Waziri amemshukuru Katibu Mkuu kwa yote aliyoyafanya kwa nchi yetu na ukanda wetu kwa ujumla kwa niaba ya Rais.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR