• Breaking News

  Sep 22, 2016

  KIMENUKA Nyumbani Kwa Diamond..Zari Akuta Hereni za Mwanamke Chumbani Kwao...Zahisiwa ni za Hamisa Mobeto

  First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani. Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini. Posts hizo za Zari zinaendelea kuziongeza nguvu tetesi za muda mrefu za usaliti katika uhusiano wao na huenda ameamua kuzoea na kuamua kupigania tu nafasi yake. Ujumbe wake una mafumbo na madongo mengi lakini ni wazi kuwa amani itakuwa imechafuka kidogo kwa couple hiyo yenye nguvu Afrika Mashariki...Huku Instagram Wadau wanadai Hereni hizo ni za Hamissa Mobeto kwa kuunganisha picha ambazo Hamissa anaonekana kuvaa hereni zinazofanana na hizo

  Hivi Hapa Vijembe vya Zari kwa Mwanamke Huyo:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku