Kumekuwa na tabia ya moja kwa moja kutoka kwa wapinzani wanaompinga Muheshimiwa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake.

Wapo wanaojionesha na wapo pia wale wanaojificha na kueneza maneno ya sumu kwa wananchi kuhusu muheshimiwa rais wetu.

Kwa mtazamo wangu nafikiri hizo pesa nyingi mnazozitumia kwenye kumchafua rais wetu kwenye vyombo vya habari zingetosha sana kuleta maendeleo kwenye majimbo yenu.


Post a Comment

 
Top