• Breaking News

  Sep 22, 2016

  LOWASSA: Mgogoro Arusha ni Njama ovu Dhidi ya Upinzani

  Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amesema kile kinachoendelea Arusha ambayo ipo chini ya CHADEMA (UKAWA) ni njama ovu ya serikali ili kuwakatisha wapinzani tamaa ya kutekeleza majukumu yao kwa wananchi.

  Wakuu nadhani mnaelewa kinachofanya sasa hivi mkoa wa Arusha na Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi na watawala wengine wa serikali kuibana CHADEMA.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku