• Breaking News

  Sep 28, 2016

  MAHAKAMA Kuu Imekana Kuitambua Kampuni Iliyotumwa na NHC Kuondoa Vitu vya Mbowe Jengo la NHC


  Mahakama Kuu imekana kuitambua kampuni ya Fosters Auctioneers and General Traders iliyohusika kuondoa vitu vya kampuni za Freeman Mbowe kwenye jengo la Shirika la Taifa la Nyumba (NHC). Inadaiwa dalali aliyetumiwa na NHC kuziondoa kampuni za Mbowe katika jengo hilo hajasajiliwa na Mahakama

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku